Category : Ghafla

Entertainment / Ghafla - 4 hours ago

BASATA Wampongeza msanii AT Kwa Kutwaa Tuzo

Baraza la sanaa la Taifa  limeonyesha ushiriki wake katika kukuza sanaa kwa kumpongeza moja ya wasanii wakongwe nchini  AT baada ya kushinda tuzo mbili kwa mkupuo katika tuzo za Mama Awards zilizofanyika wiki iliyopita nchini Marekani na kufanya msan...

Entertainment / Ghafla - 6 hours ago

Rose Ndauka Awatolea Uvivu Watoa Mimba

Wadada wengi wa mjini wamekuwa na dhana kwamba kubeba mimba na kulea mtoto ni moja  ya hatua ya kuzeeka au kuharibu mwili, hivyo wengi ukataa kubeba mimba na hata wakibahatika kubeba mimba basi wengi uzitoa  ili kuepukana na majukumu ya uzazi.Ingawa...

Entertainment / Ghafla - 7 hours ago

Hamisa Amefunguka Kuhusu Bifu Lake na Lulu

Mwanamitindo na muigizaji wa Bongo movie, Hamisa Mobetto amemzungumzia muigizaji mwenzake Elizabeth ‘Lulu’ Michael aliyehukumiwa wiki iliyopita miaka miwili jela pamoja na uhusiano wao. Siku za nyuma Hamisa na Lulu walikuwa na bifu kubwa...

Entertainment / Ghafla - 7 hours ago

Aunty Ezekiel Kufunga Ndoa Na Iyobo.

Moja ya wasanii kongwe nchini katika tasnia ya filamu, eunty ezekiel amefunguka na kusema kuwa kwa muda ambao amekaa na mzazi mwenzie ni wakatiu mufaka kwao sasa kufung ndoame  na mwanau yme huyo.aunty ezekeiel ambae amekuwa na uhusiano na mwanaume h...

LOAD MORE