Dulla Makabila Kamuacha Husna Sajent na Kutembea na Rafiki Yake

Ghafla

Entertainment / Ghafla 38 Views

Mkali wa muziki wa Singeli Abdallah Mohamed maarufu kama Dulla Makabila amedaiwa kufanya mazito kwani imedaiwa baada ya kumbwaga aliyekuwa mpenzi wake Husna Sajent hivi sasa anatembea na rafiki yake kipenzi Tiko. Muigizai wa Bongo movie Husna Sajent na Dulla Makabila walikuwa kwenye mahusiano kwa kipindi kirefu hadi kuna muda walitangaza kufunga ndoa lakini baadae wakaachana baada ya familia ya Dulla kumkataa Husna. Habari za kimbea zinadai hivi sasa Dulla Makabila amewachanganya vibaya mno waigizaji hawa wa Bongo movie ambao ni Husna Sajent na...

Comments