Category : Citizen Videos

16 hours ago

Afisa wa trafiki anaswa akipokea hongo

Afisa mmoja wa trafiki amenaswa waziwazi kwenye kamera akiitisha rushwa kutoka kwa dereva mmoja wa asili ya kiganda. Dereva huyo alilazimika kutoa hongo ya shilingi elfu moja baada ya polisi huyo kumsisitizia ampe hongo kinyume na maadili na sheria....

LOAD MORE